Create Account
도움말(한국어)
Description
Akili and Me ni kipindi kipya cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media, watengenezaji wa Ubongo Kids. Watoto wa miaka mitatu hadi sita watafurahia kuungana na Akili kwenye ulimwengu wake wa maajabu, Lala Land! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza.

Elimika na burudika kupitia “Akili and Me” TBC1 saa 3 asubuhi j1 & j2 pamoja na Ubongo Kids.

http://www.akiliandme.com
http://www.facebook.com/akiliandme

Akili and Me is an edutainment cartoon from Ubongo Media, creators of Ubongo Kids, Akili and Me, and other great edutainment made in Africa, for Africa.
Tags
kiswahili swahili animation kids tanzania african cartoon